Muda mchache ujao katika dimba la Etihad Stadium wenyeji Manchester City wataingia kibaruani kuikabili timu iliyopanda daraja msimu South Hampton katika mechi itakayo wataka mabingwa watetezi kuanza na ushindi kama nia ya kuonyesha kutetea ubingwa wao kwa msimu huu mpya wa 2012/13.
City kwa uwezekano mkubwa watawakosa golikipa J. Hart na mtukutu "Super" Mario Balloteli wanaosumbuliwa na majeraha.
Vifuatavyo ni Vikosi vya timu zote mbili vinavyotarajiwa kuanza katika mchezo huo wa leo:
MANCHESTER CITY
HartZabaleta, Kompany, Lescott, Clichy Yaya Toure, De JongSilva, Tevez, NasriAguero |
SOUTHAMPTON
K DavisClyne, Fonte, Hooiveld, Fox Guly, Schneiderlin, S Davis, LallanaRodriguez, Lambert |
No comments:
Post a Comment