Search This Blog

Monday, August 6, 2012

J-LO WA BONGO AMJUA JUU AGNESS!!


Mwigizaji  mwenye  mbwembwe nyingi  kutoka ndani ya  tasnia ya filamu Bongo Christina Manongi 'Sintah' amemtaka  video queen wa Bongo Agness Gerald Masogange   kufunga bakuli lake (kunyamza kimya) na kuacha  kumapakazia meneno machafu kwenye vyombo vya  habari.
Akizungumza na Teentz.com mapema leo Sintah amesema kuwa amesikitishwa  sana na kitendo cha  Agness kumtaja yeye (Sintah) kuwa ndiye anahusika na kuisambaza kwenye mitandao video  inayomuonyesha Agness akiwa mtupu huku pia akionekana kufanaya  matendo kadhaa ya kingono.
"Nimemsikia na isitoshe kuna watu wengi wameniambia juu ya hilo la kunitukana na kunitaja redioni kuwa nahusika, mimi  sijui lolote awaulize marafiki zake  ambao mimi naamini ndiyo wanahusika kuzisambaza kwani hata kwenye BBM yangu ni wao ndiyo walinitumia namuomba afunge…

No comments:

Post a Comment