Branislav Ivanovic akipongezwa na wachezaji wenzaji baada ya kuipatia timu yake bao la kuongoza dakika ya 2 ya mchezo huo ambao The Blues walikuwa wageni wa Wigan Athletic.
Frank Lampard akifunga mkwaju wa penati dakika ya 7 na kuihakikishia Chelsea ushindi wa 2-0 ugenini.
Eden Hazard ndiye aliyekuwa chachu ya ushindi wa The Blues kwa kucheza soka safi uwanjani.
No comments:
Post a Comment