Search This Blog

Wednesday, August 22, 2012

REAL MADRID NA QPR WAKUBALIANA JUU UAMISHO WA MKOPO WA RICARDO CARVALHO!



Real Madrid na QPR wamefikia makubaliano juu ya uamisho wa mkopo wa muda mrefu wa beki wa zamani wa Chelsea, Ricardo Carvalho mwenye umri wa miaka 24.

Makubaliano yamefikiwa tayari na bado makubaliano binafsi baina ya kilabu ya QPR na Carvalho. 

No comments:

Post a Comment