Search This Blog

Thursday, August 23, 2012

LEO NI EL CLASSICO HUKO HISPANIA: BARCA vs REAL MADRID!



Leo  katika dimba la Camp Nuo muda wa saa 22:30 GMT, miamba ya soka duniani ka ngazi ya vilabu Fc Barcelona na Real Madrid wataingia katika dimba hilo katika mechi ya kwanza ya kusaka kombe la Spanish Super Cop ambalo uwakutanisha Mshindi wa Primera Division na  Mshindi wa Copa Del Ray.

Barcelona chini ya kocha wake mpya Titto Vilanova, Je wataaendeleza Ubabe wao Kwa Real ya Mourinho? hilo ndo swali la kujiuliza na mengi yatasemwa kuhusu mchezo huo lakini tusubiri kwa macho yetu tujionee mechi hiyo  kali na ya kusisimua!

No comments:

Post a Comment