
Katika mahojiano yake na "Mzee wa Single Buttuon", PHD alipo ulizwa kuhusu matumizi ya mipira kwa upande wake alikuwa na haya ya kusema; " "we jamaa maswali gani hayo bana? mimi kondomu za nini? muda wote mimi nakwenda dry... anakaongezea kuwa alikuwa katika mahusiano na msichana mmoja ambaye hajataka kumtaja na anasema kwa sasa wameachana imepita miezi 3... anasema aliwahi kupima nae virusi vya ukimwi na walipojikuta wako safi wakaamua kujilipua kavu kavu....
Na alipo ulizwa swali la pili kama amewahi kuwa katika mahusiano na wasichana wakitanzania maarufu?
HEMED: "Unauliza kengele kanisani??? unadhani kwanini naitwa Hemed PHD? nina taaluma ya kucheza na mioyo ya mabinti hawa wakibongo.... ila tatizo hawanivutii huwa napita tu kwakuwa nina hamu na wakati huo au ninakuwa sipo katika mahusiano na mtu yoyote...., pia aliongeza " hilo sio swali... mpaka sasa nishawapitia 32... kwahiyo kuhusu majina katafute mwenyewe huko mtaani mbona stori zipo??
Huyo ndiyo PHD!
No comments:
Post a Comment